Rais Magufuli awatumbua Wakurugenzi wawili Bukoba


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba Bw. Erasto Aron Mfugale na Bi Mwantum Kitwana Dau ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba vijijini.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad