Wema Sepetu
Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA) pamoja na Shirika la Viwango Nchini(TBS) wamebaini kuwa rangi hizo hazina ubora kwa matumizi ya binadamu.
Kwa upande wa Meneja wa Wema Sepetu, Happy Shame alipotakiwa kuzungumzia suala hilo amefunguka na kusema kwamba taarifa za kufungiwa kwa bidhaa hizo yeye kama Meneja hajazipata bali anachofahamu mzigo ulikuwa haujaingia sokoni na kwamba muigizajin huyo alikuwa bado akifuatilia vibali kutoka mamlaka husika.
Rangi hizo za mdomo za muigizaji Wema Sepetu zilizinduliwa kwa mara ya kwanza mwaka 2015 usiku wa birthday yake.
mmekosa cha kuandika. hakuna jipya Wema anaingiza pesa kwa kazi zake nyinyi mnabwabwaja tuu.
ReplyDeleteUkisikia usiasa nchini na uchama wa ccm katika kuligawa taifa na vibaraka wa ccm ni huu. Iko siku nyinyi wstu mtsumbuka. Mungu ni juu yenu wote wenye visa na watuu wasio nahatia. Kumdhoofisha mtu si kushinda nchi. Ukiiua akili za mtu ndipo utashinda. Watanzania wengi kwa mara ya kwanza wanautambua baguzi wa chama tawala zidi ya wasio ccm. Ni dhambi za jinai.zitagikia mwisho. Si watanzania wote wajinga. Mtalazimisha vitu mtafikia tu kikomo. Hakuna lisilo na mwisho. Mtaangukia pua vibaya tu. Ni aibu kuminya maendeleo ya watanzania kupitia itikadi.
ReplyDeleteBig shame.