Uchumi wa Tanzania: Hussen Bashe Afafanua Mwenendo wa Uchumi Nchini....Ukweli Mchungu

Nimemsikiliza kwa makini sana Hussein Bashe kwa uchambuzi mzuri alioufanya kuhusu trend ya uchumi hapa nchini, inasikitisha sana tena sana. sasa nikajiuliza Hivi ingekuwaje maneno haya angeongea Zitto Kabwe?

VIDEO:
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Angefungwa mara moja.Havai kijani. Kijani ni kinga.Hujui hii. Ndo maana Mtu kama Bashe hatahama CCm . Akihama tu yupo ndani hana cheo. Atakula wapi. Bado hajawa shujaa kamili. Bado anambembeleza mkuu. Hata Nape bado anabembeleza kwa mkuu.Si wengi shupavu , na si wengi ni mashujaa, ingawa wanafikiri wako vitani.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad