Uwoya Amnyima Penzi Dogo Janja Tangu Ndiku Afariki

Kwa habari za kunyapia nyapia ni kwamba Irene Pancras Uwoya (Sheila Abdul) aanza kumchukia dogo janja kiasi cha kuyumbisha penzi lao na mbaya zaidi amekuwa akimnyima penzi dogo janja na mara nyingi hupenda kumkwepa kwepa janjaro na kiasi fulani anahisi kama janjaro ndo chanzo cha mumewe kipenzi Hamadi Kataut.

Dogo janja mara kwa mara akitafutwa kujibu suala hili la kunyimwa penzi na uwoya amekuwa akibabaika sana na muda mwengine hupenda kujibu nje ya mada ili asiendelee kuulizwa.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Heee! Waandishi sasa mumezidi!! Duh mpaka ya chumbani mnayataka....hivi yatawasaidia nini kwamfano......au unataka 'umpe' wewe mfyuuuuu....wewe 'ukinyimwa' huwa unatangaza,hovyoooo waandishi wa TZ wengi wenu ni makanjanja, mkifungiwa mnalalamika serikali inawaonea.....mkipewa nafasi ya kuuliza maswali, mnauliza maswali ya kijinga miku.....yenu msonyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  2. ila dogo ana kazi ya ziada ktk ndoa yao, mahali alipochagua kwa upande mwingine sio sahihi kwake,

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad