VIDEO: Daladala Lashika Moto Likiwa Barabarani, Abiria Wajirusha

Ilikua hali ya taharuki baada ya abiria waliokuwemo kwenye daladala kuambiwa na watu wa nje barabarani kwamba gari walilopanda limeshika moto, abiria wakaanza kuruka hata gari halijasimama ambapo hakuna aliejeruhiwa, bonyeza play kwenye hii video hapa chini kutazama ilivyokua VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad