Yanayojiri Kwenye Mkutano wa Kampeni Mtwara Ambapo leo Lazaro Nyalandu Atapokelewa Rasmi Kuwa Mwanachama wa Chadema

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe leo atakuwepo kwenye kampeni za udiwani Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani kata Reli ambapo atahutubia wananchi wa kata Reli na kumpokea rasmi aliyekuwa mbunge wa Jimbo Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu baada ya kujiuzulu ubunge wa chama cha CCM na kuomba kupokelewa ndani ya Chadema. Lazaro Nyalandu atapokelewa rasmi leo na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema...
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad