Baada ya kuenea kwa picha za Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe kuwa na baadhi ya viongozi wengine wa vyama vya upinzani hatimae chama hicho kimeeleza kuwa kiliazimia kuanza kufanya mazungumzo na viongozi wengine wa vyama vya upinzani ili kuunganisha nguvu kwenye mapambano ya demokrasia.
Akiongea na Bongo5 leo, Katibu Itikadi na Uenezi wa Chama hicho, Ndugu.Ado Shaibu amesema kuwa ingawa kila Chama kina Itikadi, sera na programu zake, yapo mambo ambayo Chama cha upinzani hakiwezi kufanya peke yake.
“Kamati Kuu ya Chama chetu iliazimia kuwa Uongozi wa juu wa Chama uanze mazungumzo na viongozi wengine wa Vyama vya upinzani ili kuunganisha nguvu kwenye mapambano ya demokrasia. Ingawa kila Chama kina Itikadi, sera na programu zake, yapo mambo ambayo Chama cha upinzani hakiwezi kufanya peke yake. Moja ya mambo hayo ni mapambano ya kidemokrasia kwa hiyo, Zitto amekwishafanya mazungumzo na Mbowe na Rungwe na atafanya mazungumzo na viongozi wa Vyama vingine,” amesema Ado.
ACT-Wazalendo Yafunguka Sababu ya Zitto Kabwe Kukutana na Viongozi wa Upinzani
4
December 22, 2017
Tags
Jamani Jama... Dogo kawachwa peke yako... Hana hata wa kumfariji.
ReplyDeleteSasa time pass pia hana anaanza kuwachelewesha wenzake makazini kwao.
Mwenye Bajaji anamdai za Usafiri.
Mwisho atajifungia ndani peke yake.
Mie nakushauli badala ya kujipotezea na kuwapotezea Muda watu.
Cheza na Dogo mwenzako nyumbani na umsaidie mama kikapu cha sokoniTHE WEAKEST LINK OF UPINZANI KAKA
PEKU-PEKU KAZI UNAYO.............maskini watu wamaana akina Msando, Mgwira, Kitila Mkumbo nk wamemkimbia, hana company ya maana tena....duh si ubaki na mkeo nyumbani mliwazane jamani......hadi HURUMA!
ReplyDeletePwagu wangu.... Ya huko sauzi na kina Zuma yalikwishaje?
ReplyDeleteMie nakuoneaga Huluma kweli Dogo... Mnake hata sijui mwelekeo wako ni wapi na kazi yako ni NINI.
Kaka Zitto wavuvi waliomba Balafu ( cold room) Yamefikia wapi utatuzi wa wana Kigoma?
ReplyDeleteNHC ya kule Kigamboni yanakuhusu...!!! Magu kalibu ataliamsha Dude. na wewe ndani!
Cha magumashi hakiliki Magu anapitia Dili zote shauli yako. itabidi uludishe halaka.