Afande Sele Atoa Kauli Nzito Kwa Mrisho Mpoto ‘Ulistahili Kupigwa Risasi Tano Kichwani’

Msanii wa muziki Bongo, Afande Sele amemvaa vikali msanii mwenzie, Mrisho Mpoto kufuatia madai kuwa alihusika kutoa baadhi ya wasanii katika wimbo maalum uliotungwa kwa ajili ya uzalendo na kumuweka Christian Bella wakati si raia wa Tanzania.

Afande Sele amedai kitendo hicho ni kuwakosea heshima wasanii wa Tanzania na Watanzania wenyewe. Msikilize hapo chini akifunguka zaidi pia Mrisho ajibu.

VIDEO:
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad