Ahadi Yangu Iko Palepale Nikitiza Miaka 30 Bila Kupata Mtoto Nitafunga Kizazi- Wema Sepetu

WEMA Isaac Sepetu amefunguka kuwa, kamwe hawezi kuvunja kiapo alichoweka kuwa akitimiza umri wa miaka 30 bila kupata mtoto atafunga kizazi.

Wema aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, kuwa alitoa ahadi kuwa atakapofikisha umri wa miaka 30 bila kunasa ujauzito, basi atafunga kizazi na kwenda kuasili mtoto.

“Mwaka ndiyo hivyo unaisha, lakini ahadi yangu iko palepale. Kama kweli sitanasa ujauzito hadi nagonga miaka 30 kamili, lazima nifanye nilivyoahaidi na nitaenda kuasili mtoto,” alisema Wema ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 29.

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nitafute Wema....!!!!!
    Tena Haraka sana....!!
    Mtoto wa ndoto yako ninae, itabididi niipige kutwa mara Tatu ile heavy baada ya siku 16 ya kumaliza mzunguko wa mwezi.

    Nitafute bila kukosa... itabidi na inabidi mpaka miaka 35 utakuwa na watoto sita.
    Mtoae ni Bwana atukuzwe. Ameen.

    ReplyDelete
  2. Njooo bukit bin Tang 37. nakungoja au TAR 73 nipo pia.

    ReplyDelete
  3. hana jipyq umesha pitwa na wakati rudi kwa mola wako omba msamaha kwa Mola wako dunia ni ndogo mama wacha kutafuta kiki zisizokuwa na msingi olewa kuwa mke wa mtu kihalali uone urapata mtoto au hupati take my words

    ReplyDelete
  4. Huna mpya Wema.Wanaume ambao hawajakuvua chupi wanahesabika kwa vidole vya kiganja kimoja. Umevuruga sana ndoa na mahusiano ya watu. Mungu analipa hapa hapa. Umebaki kuhaha mjini mara Chadema mara CCM. Na bado laana na machozi ya wake na wapenzi wa watu havikuachi salama.

    ReplyDelete
  5. Sasa unafunga hewa, unafunga kizazi gani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad