Alichokisema Dogo Janja Baada ya Picha ya Mkewe Irene Uwoya Akiwa Kwenye Mahaba Mazito na Tbway Kuvuja

Alichokisema  Dogo Janja Baada ya Picha ya Mkewe Irene Uwoya Akiwa Kwenye Mahaba Mazito na Tbway Kuvuja
Moja kati ya stori zinazotrend  ni picha ya kimahaba ya muigiza Irene Uwoya ikimuonesha akiwa na mtangazaji Tbway kitandani, wote tunajua Irene Uwoya kwa sasa ameolewa na Dogo Janja, baada ya kuvuja kwa picha hiyo minong’ono imeanza kuenea kuwa inaweza kuvunja ndoa ya Irene Uwoya na Dogo Janja.

Wakati stori hizo zikiendelea kusambaa katika mitandao ya kijamii, kupitia instagram account yake ya Dogo Janja ameamua kupost picha ya mke wake Irene Uwoya na kuandika maneno haya kipindi hiki ambacho kuna minong’ono kuwa ndoa yao imeyumbishwa kwa picha ya Tbway na Irene Uwoya.
“Sigombani na mke wangu kisa jirani kasema nigombane nae, nitakuja nae maisha club leo kumuimbia wimbo mzuri  wa mapenzi na msisahau kuwa ikifika saa sita leo ni Birthday yake so karibuni tumuimbie pamoja”>>>Dogo Janja

Hayo ndio maneno ya msanii Dogo Janja yanayodaiwa kuwa ameyaandika kwa sababu ya maneno maneno ambayo yamesambaa baada ya picha ya kimahaba ya Tbway na Irene Uwoya kuvujaa, Dogo Janja leo anafanya show Maisha Basement akiwa na Aslay ameahidi kuja na mkewe Irene Uwoya.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad