Atumia Sumu ya Panya Kuwaua Ndugu Zake Akidai Wao si Wasafi

Atumia Sumu ya Panya Kuwaua Ndugu Zake Akidai Wao si Wasafi
Polisi nchini Italia wamemkamata mwanamume ambaye anadaiwa kutumia sumu ya kuua panya kuwaua watu wa familia yake kwa sababu hawakuwa "wasafi".
Mattia Del Zotto, 27, analaumiwa kwa kuweka sumu kwenye chakula cha babu ya nyanya yake na cha shangazi ambao walifariki
Watu wengine watano katika familia wanaendelea kupata matibabu hospitalini.
Sumu ya buibui, tiba ya kiharusi
Aliyesema Hitler hakutumia sumu aomba radhi Marekani
Awapa sumu na kuwaua watu 20 kwenye madhabahu Pakistan
Bw. Del Zotto alikamawa eneo la Mozna karibu na Milan baada polisi kupata risiti kwenye kompiuta yake.
Baada ya kukamatwa alikiri kuwa alitaka kuwaadhibu watu wasio wasafi.
Mama yake aliwaambia wachunguzi kuwa hivi karibuni alikuwa amejiunga na dhehebu.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad