Baba Diamond Afunguka Makubwa.."Sijawahi Ongea na Zari Toka Awe na Mwanangu, ila Wema Sepetu na Hamisa Mobetto Fresh"

Baba Mzazi wa Diamond Platnumz amefunguka na Kudai hajawahi ongea wala kukutana na mkwe wake Zari Hassan toka awe na Mwanae, Adai anamsikia tu mitandaoni lakini kama mkwe hajawahi kufanya juhudi zozote za kumtafuta wafahamiane "

Tazama VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad