Bashe, Zitto Watoa Kauli Nzito Askofu Niwemugizi Kuhojiwa Uraia Wake

Bashe, Zitto Watoa Kauli Nzito Askofu Niwemugizi Kuhojiwa Uraia Wake
MBUNGE wa Nzega Mjini, Hussein Bashe ameelezwa kusikitishwa kwake baada ya Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge, Wilaya ya Ngara, mkoani Kagera, Severine Niwemugizi (61), kuhojiwa na Idara ya Uhamiaji kuhusiana na uraia wake.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Bashe ameandika;
I know how it feels unapo ambiwa AMA kuanza kujazishwa Fomu na kuhojiwa juu ya Uraia Wako its like kujazishwa fomu kuambiwa huyu sio Mama yako or Baba yako Pole Askofu Severine Niwemugizi wanaofanya haya hawana hata Khofu ya Mungu.



Askofu Niwemugizi aliehojiwa na Idara ya Uhamiaji kuhusiana na uraia wake kwa mara ya kwanza Novemba 28 mwaka huu na mara ya pili alihojiwa Desemba 4, mwaka huu.

Askofu Niwemuzi aliingia kwenye headlines baada ya kueleza kuwa serikali itoe kipaumbele kwa katiba mpya ya nchi ili iweze kukamilika.

Kwa upande wake Zitto ameandika;














Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. walewale poleni kama mmeumia lakini serikali iko sawa

    ReplyDelete
  2. Teana haswa Ni wale wale... Ndiyo imewagusa.
    Kwa Bashe ilikuwa ni Hivyo Hivyo na ndivyo ilivyo. Zitto wa Kalemi anajijua na Tunamjua.... Tuko njiani ni lazima ajihami na aHami kuonesha hii sinema.
    Unataka Kuishi Tanzania na Kuingia Katika Jamiii. Kaa na Uheshimu mila na desturi zetu tutakufumbia macho ili uishi na kupata riziki yako halali.
    Lakini ukujifanya wewe ni Ng'eeee... Tutakushughulikia kwa jiwe au Gongo la kwanza mbalo mkono utafika. TANZANIA YETU NI SALAMA NA AMANI

    Kuweni Raia Wema hata kama ni Magumashi. Tunalielewa Hilo.

    mama Anna endelea na michakato NA MIKAKATI YA UHAKIKI.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad