Binamu Yangu Anapenda Kukaa Utupu Kila Akiniona Sijui Kwanini?

Mimi ni kijana ninaeishi na kufanya kazi Dodoma, mwezi desemba nilienda kumtembelea binamu yangu alieolewa Dar es salaam, anaishi maeneo ya ukonga.

Kuna matukio yanayotokea na kunishangaza,sasa chumba anacholala binamu yangu na mme wake vinapakana na choo na bafu kama mara tatu hivi wakat naenda bafuni kuoga nilimkuta binamu yangu kaacha mlango wazi huku yuko uchi nikageuka haraka nikarudi nilikotoka.

Mara ya pili binamu yangu alikua ametoka chooni, sasa mimi nilikua naenda kuoga nikamwona bwana akiwa uchi, mara ya tatu tena alikua uchi chumbani huku ameacha mlango wazi cha kushangaza alipogundua hakuhangaika kujisitiri aliendelea na mambo yake,nilipogeuka kumkwepa ndio nikasikia samahani huku yupo very relaxed.

Sijui nifanye nini wadau,msaada tafadhali
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jinsi nilivyo elewa, Huyu Binamu yako si anajina? Nani
    Ungejaribu kumwita kwa Jina Lake uone kama angeitikia au Inawezekana uwezekano mkubwa Huyu si Binamu yako ni Jini wa mahaba.
    Je wewe uko Dodoma unafamilia au? Manake Dodoma ni Mjini Mkuu na wewe inawezekana Unatafuta Kazi kwa Hivi sasa.
    Hembu tueleze ili tuweze kukusaidia.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad