Breaking News: Wema Sepetu Ang'atuka Rasmi Chadema na Kurudi CCM


uigizaji wa filamu za kibongo na Miss Tanzania 206 Wema Sepetu ametangaza rasmi kurudi Chama Cha Mapinduzi huku akidai kwamba hawezi kuishi kwenye nyumba inayomkosesha amani.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Wema Sepetu amesema kwamba anatangaza rasmi kuondoka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ambacho alitangaza kujiunga nacho Februari mwaka huu.

"Siwezi Kuendelea kuishi kwenye nyumba inayo nikosesha amani... Peace of mind is everything for me. Natangaza rasmi kuondoka Chadema na kurudi nyumbani" . Wema Sepetu.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani Mbona Mtamuua Mtowe kwa Kihoro....
    Hivyo mnamsusia Chamani.... Lakini Singida na Moshi ni wapi na wapi?
    Nyalandu pia nasikia Yuko Mbionni pia .. Ila naogopa Kigwangallah asimtilie Mikwalla.

    Mtowe hilo peke yake ni Somo..... Itabidi ubadilike.. ila Kadi yako hatuna kwa sasa.

    ReplyDelete
  2. Yaani hata sura yako haikupendeza kuwa chadema, wewe umezaliwa na kukulia CCM, damu yako yote ni CCM kwa baba na mama........CCM woyeeeeee, oyeeeeeeeeeeeee!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad