Bright Amwombea Msaada wa Kuandikiwa Nyimbo Baraka Da Prince

Bright Amwombea Msaada wa Kuandikiwa Nyimbo Baraka Da Prince
Msanii wa muziki Bongo, Bright amesema Barakah The Prince asaidiwe kwa namna yoyote ile katika uandishi wa ngoma zake kutokana na baadhi ya maneno kujirudia.

Muimbaji huyo ametolea mfano neno ‘Moyo’ kwa kusema limekuwa likijirudia mara nyingi katika ngoma za Barakah hadi anashindwa kuelewa iwapo ana tatizo la moyo.

Kila msanii ana matatizo lake lakini kwa baraka ni kujirudia rudia kwa maneno kama moyo labda anatatizo la moyo ndomana anapenda kulirudia mara kwa mara navyoona ninachomshauri  anachotakiwa amtafute mtu wa kumtungia anaweza kumtoa mahali alipo.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad