Chadema Yatoa Taarifa Kuhusu Mnyika Kuhamia CCM

Kuna Taarifa zinasambazwa mitandaoni ya kuwa Mhe. John Mnyika, Mbunge wa Kibamba amejivua uanachama wa CHADEMA. Taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli wowote, ni za kupuuzwa, wanaozisambaza ni wale walioishiwa hoja na majibu juu ya hali ya maisha ya Watanzania.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hakuna jipya hapo, kwani hata Lowasa mlimwita fisadi na mliapa mkishika dola mtamfunga......kikowapi sasa, mnavyo mtetea kama sio nyinyi.......piipoozzz PWAAAAAAAAhhh

    ReplyDelete
  2. LISEMWALO-LIPO-KAMA-HALIPO-LINAKUJA.
    Tangu Lowasa ahamie chadema huyu bro hakuwahi kuwa na raha na amani hata kidogo, maana hakujua amsafisheje huyo fisadi baada ya wao kumchafua......kwa sasa anatafuta amani ya moyo, ataipata wapi kama sio katika chama kubwa CCM.....karibu-karibu BRO huku kwenye asali na maziwa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad