Faiza Ally Atoa Kali ya Mwaka Atupia Picha Akijifungua Hospitalini na Kuandika Haya

Faizaally_
Sikujua kama mna ujinga wa kiasi hichi 😱.....any way hapo ndio nilitoka leba nampa mwanangu busu la ushindi😘😘😘😘 kama kwenda leba ni aibu basi acha iwe kwangu na kama ku share furaha yangu ni tatizo acha liwe👐 I AM PROUD OF MY SELF .... ku push sio mambo ya spoti spoti 🤣🤣 #proudmom #proudtobeawoman happy 4 month son 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘 @lijunior_ and thank you @baba_li_jr nakupenda ❤️❤️❤️

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ungekuwa umezaa katika ndoa angalau 'ingependeza'.......lakini mmh, na bado unajianika...Looh, ptuh!!! unalaana ya kurithi

    ReplyDelete
  2. Faiza kama leba ingekuwa sio siri ya aneyejifungua na daktari basi ingewekwa mapekezi ,,,,, na kama basi unavyojua kuhusu leba huwa inawekwa maalimu kwa tukio hilo maalimu. hivyo basi unahiji kuomba Mungu akupe hekima na busara pia inakuhitaji kutumia akili nyingi kufikiri unachokifanya na unachokituma kwenye mitandao ya kijamii, au likuulize swali? imagine mtoto wako kakuwa halafu kaja kaonyeswa uchi wa mamake unadhani uso wake atauweka wapi? ati mwone mamako akikuzaa wewe duh !!acha kutafutia watoto wenu aibu za badaye!!! tunza heshima yako ili mwanao aje kuheshimiwa kwa heshima uloacha.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad