Familia ya Lissu Tena, Kuhusu Mama Samia Kwenda Nairobi na Mengine

Ikiwa bado Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu anaendelea na matibabu Nairobi nchini Kenya baada ya kushambuliwa kwa risasi, familia ya Mbunge huyo leo December 15, 2017  imeongea na waandishi wa habari.

Alutha Mughwai ni msemaji wa familia ameita waandishi wa habari moja ya jambo alilolizungumza nikushukuru serikali kupitia Makamu wa Rais kwa kumtembelea Lissu pamoja na suala la gharama za matibabu ambazo bunge halija gharamia zikiwa zimepita siku mia moja.

“Kutoka serikalini ambaye amekwenda kumuangalia ni Makamu wa Rais, kama mlivyomsikia alisema ametumwa na Rais kwenda kumjulia hali, zaidi ya yeye hakuna kiongozi mwingine wa serikali alienda kumjulia hali,” – Mughwai

“Hakuna mtu aliyechukua jukumu la kumtibu Lissu, mawasiliano ya mwisho tuliyoyapata toka Ofisi ya Bunge walitaka tufafanue hizo haki za mbunge kutibiwa, tumefafanua na tuna dai haki 4,” – Mughwai VIDEO:
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa huyu ananistaajabisha Mimi
    Sijui kea wengine.
    Huyu anachukuliwa au anajichukulia kuwa yeye Ni msenaji WA Familia. Familia ya NANI?
    Hivyo Kula Mtanzania aliyekuwa Mgonjwa katika Kula familia ya mgonjwa atoke/ateuliwe mmoja wapi site waandishi WA habari nchi hii kweli watu watafanya kazi manake runs wagonjwa wengi mahospitalini wala hatuitishi mikuyani na waandishi WA habali. Huyu kazidu nini?
    Kama analingine la maana na SI kupoteza muda wake ba wetu.
    Je Mnaweza kuyafanya hayo kimya kimya kistaarabu bila kutupoteEa wakati na kuwa ndiyo fumzo katika vichochoro...!!!
    Itapendeza mkifanya Kistaarabu

    ReplyDelete
  2. we hapo juu ukisikia wajinga, wasio na kisomo, mbumbumbu ni wewe. na unamarafiki wengi sana mbumbumbu. kosa kila kitu, jikwamue kiakili kuliko kuandika mavi. mjinga hafundishwi, mjinga haelimiki, hakuna chance ya maendeleo ukikaa na mjinga. mwogope sana anaweza kuua kwa ujinga akiamini anachoamini . woga, na ujinga ni vita vikuu kwa magonjwa, maendeleo na kila kitu. hivi mtu kama wewe unajisomesha hata kitabu au unajisomesha mitandaoni. hata waliosoma chini ya miti ni werevu zaidi kuliko wewe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asifiwe bwana!! Ameeen.
      Shule ya ngumbalo ya kufuta ujinga nilikwendaga na nikapataga shahada kuwa nimeshafuta Ujinga.
      Sasa kwa Taalifa yako wewe ndiyo mjinga baada ya hii kukutachi. Au ni mmoja wapo.
      Mkuki kwa guluwe kwako mchungu.
      Imekutachi shauli yenu. Shillingi yangu sitoi itaingia katika Maendeleo ya nchi yangu.
      Hata Mh Makonda kapiga malufuku omba omba... Hatukutakini. Fanya Kazi Uishi na uyamudu maisha yako.
      Hii haina Tafsiri nyingine. Hela ya Bule hakuna tena. Vyuma vimekaza. Tafuta gilisi mwanagu.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad