Hamisa Mobetto kupitia ukurasa wake wa instagram amepost picha zake mbili katika post mbili tofauti na kuandika “Yani naskia bila Mimi huwezi kabisa….🙆🏽♀️🙆🏽♀️ yani upo nyang’anyang’a #mrsfudenge @mobettostyles 👑”
Post nyingine ya Hamisa Mobetto alipost picha yake akiwa katika gari na kuandika maneno haya “Ety …. Naskia ukiona picha yangu Moyo wako unapiga paaah 🙆🏽♀️💘💖 #MrsNaniliuwh…🧜🏽♀️ @mobettostyles @mobettostyles”
hawezi kabisa tena anajibabaisha tu wakupate wapi? mashallah umeumbika upole tabia yako mashallah mungu akuzidishie wenye wivu wajinyonge keep it up kimya kina mshindo mama wache na mbwe mbwe zao
ReplyDeleteHamisa mama, Unatisha kwa Uzuri na Tabia.... Mashallah mie niko njiani kufanya kweli.
ReplyDeleteNaomba Namba ya Mama Halafu ntakutana wewe bado niko Machimboni nataka nikija kiuhakika
Nimeshakununulia Nyumba Za Lugumi na Gali gani unazo zitaka?
Wewe ni Kioo ... Lebo yeyote unaweza kuifanyia kazi HASA UGHAIBUNI (TAILANDI AFRICAN FASHION NA EOROPEAN AFLIKAN WEEK.
Lazima tufanye kweli NITAFUTE.