Hizi Hapa Taarifa Kuhusu Kukamatwa na Takukuru Kwa Aliyekuwa Mkurugenzi wa NHC Peter Mchechu...Mwenyewe Afunguka


Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa(NHC), Nehemiah Mchechu amekanusha taarifa zilizosambaa mapema leo kuwa amekamatwa na TAKUKURU na kuhojiwa. Asema yupo kwenye msiba wa mama yake huko Ukonga.
-
Awali, zilisambaa taarifa zinazoeleza kuwa Mkurugenzi huyo aliyesimamishwa kazi jana kupisha uchunguzi, amekamatwa na TAKUKURU kwa mahojiano na angefikishwa mahakamani siku ya Jumanne kujibu mashtaka, taarifa ambazo si za kweli.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad