JE, Wajua Mkusanyiko Usiokuwa Halali Unaweza Kuanzia watu Watatu na Mkashtakiwa?


JE, wajua mkusanyiko usiokuwa halali unaweza kuanzia watu watatu na mtu yeyote ikithibitika amehusika katika mkusanyiko usio halali atakuwa ametenda kosa na atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja?
-
Pia bila kujali kama mkusanyiko ulikuwa halali, iwapo wahusika watajiweka katika hali itayowafanya wengine waogope kutatokea uvunjifu wa Amani au watachochea wengine wavunje Amani utakuwa mkusanyiko usio halali.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ebu mwangalie huyu mzee Chini. Kama watu hamtapata dhambi. Ni enzi za Utumwa mababu zetu walidharalishwa namna hii.Ni nani anampa nguvu mtu yeyote yule duniani kufanya utovu kama huu. Mungu atawakaba hhapa Duniani. Huyu ni kama babangu au babu yangu. Mna utu gani, Uraisi, Upolisi, Uwaziri? Ni nini unacho juu ya binadamu au zidi ya huyu babu unachojivunia. Nanyi Watanzania wote mnaounga hili, mna matatizo gani ya akili.Ndo hicho mnachomuunga Magufuli na elimu zote mlizonazo. Ndo huu uzalendo akina Masha na na huyu aliyepigania ESCROW mnapanda majukwaani kukumungunya uzalendo. Ni udharalishaji mtupu na uvunjaji haki za binadamu. Oneni aibu. Maneno yenu matupu hayana msingi. Mpo very week human beings. Shame on you all.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad