Kesi ya Uhujumu Uchumi ya Sethi na Rugemarila Yaahirishwa

Kesi ya Uhujumu Uchumi ya Sethi na Rugemarila Yaahirishwa
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo ijumaa Desemba 8, 2017, imeahirisha kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mmiliki wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL, Harbinder Singh Sethi na Mfanyabiashara, James Rugemarila hadi Desemba 22, 2017, kutokana na upelelezi wa kesi hiyo kutokamilika.

Harbinder Singh Sethi pamoja na Mfanyabiashara James Rugemarila, kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka 12 yakiwemo ya kutakatisha fedha na kuisababisha Serikali hasara ya zaidi ya Bilioni 3.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hizo bilioni tatu zetu na faida Juu. Zirudishwe
    na wanavyo miliki Vina Taifishwa.
    Angalia saudi alabia... 100bil amerudishamtu mmoja tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad