Kijana Aliyetuma Picha za Nyufa za Hosteli za Magufuli UDSM Akamatwa na Jeshi la Polisi

DAR: Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam, Kumbusho Dawson ambaye alitoa taarifa kuhusu Hosteli kuwa na nyufa amekamatwa na Polisi

Kijana huyo amepelekwa Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano

Source:Jamii Forums
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mahojiano gani. badala ya kuwachukulia hatua kali wajenzi. hii inahatarisha maisha ya wanafunzi. jambo la namna hii, ni vizuri likashughulikiwe mara moja badala ya kunhoji huyu mwanafunzi.

    ReplyDelete
  2. Mwanafunzi katoa taarifa kwa njia ya mtandao kosa lake nini polisi nao kazi mmekosa WAKAMATENI hao TBA ndo wajenzi ya hayo majengo Huyo mwanafunzi kaokoa maisha ya watu anaonekana mtuhumiwa Hii nchi kuna vitu vingine vya kukurupuka Mnaogopana nyie mnawakamata wanyonge

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad