Kuliko Kumkosa Shilole Kwenye Maisha Yangu ni Bora Nife- Uchebe

Kuliko Kumkosa Shilole Kwenye Maisha Yangu ni Bora Nife- Uchebe
MCHUMBA wa staa wa mduara Bongo, Zuwema Mohamed ‘Shilole’, Uchebe Ashiraf amefunguka kuwa kuliko kumkosa Shilole kwenye maisha yake ni bora asiwepo duniani kabisa.

Akipiga mastori na Over Ze Weekend, Uchebe alisema kuwa, pamoja na kwamba amegundua Shilole alirudisha mapenzi na bwana’ke wa zamani, Nuh Mziwanda lakini hayuko tayari kumuacha.

“Ninajua amenikosea sana, lakini siko radhi kumuacha, ninampenda mno na niko radhi kupoteza maisha yangu kwa ajili yake au niuze chochote nilichonacho ili tu nimridhishe atakavyo,” alisema Uchebe.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umepewa kitu haramu tu wewe sio bure

    ReplyDelete
  2. We jifanye una mahaba niuwe......jiandae kwa makofi, magumi na mateke hahahahaha

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad