Lemutuz Nae Afunguka haya baada ya Wema Kuhamia CCM


Lemutuz Afunguka haya baada ya Wema Kuhamia CCM

By @lemutuzsuperbrand_ - "DADA MANGE PLEASE HIDE MY ID".......KARIBU NYUMBANI MSANII MAARUFU DUNIANI MISS TANZANIA WA MFANO WA KUIGWA LIKE NEVER BEFORE DADA KIPENZI CHA WATANZANIA WOTE ......THE TANZANIA SWEET HEART @wemasepetu leo naku Unblock kwa mara ya kwanza .. ..hahahaha sasa hata Wasanii Maarufu Duniani wanamkimbia Masikini ya Mungu Mzee Baba Mugabe ....karibu kwenye Chama Cha Amani na kesho usikose MLIMANI CITY uone matunda ya Rais wako mpendwa Magufuli ...yaani Wanafunzi wote hapa Mkoa wa Le Commandant Field Marshall RC @paulmakonda wanapewa Discount ya 20 to 70 Percent maduka yote Mlimani City ....KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI ...Masikini Wema Sepetu kachoshwa Maandamano na Migomo ya Baba Mugabe na safari za Arusha na Moshi kupanga ujinga ujinga na kuchangishana kila siku .....hahahaha ....pole sana Dada ....guys kama unakipenda CHAMA CHA MAPINDUZI sema KIDUMU! - le Mutuz
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kidumu daimaaa. chadema ziiiiiii

    ReplyDelete
    Replies
    1. Chini ya mjomba Magu, kidumu, na vikra za mwenyekiti wa ccm

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad