Mahakama Yamfutia Kesi ya Kusambaza Dawa Feki za ARV Madabida

Madabida Afutiwa Kesi  ya Kusambaza Dawa Feki za ARV
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake watano wamefutiwa mashtaka ya kusambaza dawa feki za kufubaza makali ya ukimwi (ARV) na kujipatia Sh milioni 148 kwa njia ya udanganyifu na kukamatwa tena, kusomewa mashtaka mapya.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndo ccm inayotumbua watu.wakiwa wengi wao viongozi wa ccm. Wanashikwa wanakutwa na hatia ambazo ni kubwa zinaathiri maisha ya watu na wengine kufa. Wanaachiwa huru. Ccm haiko kweli. Wengi wanakimbilia huko kusudi wasitumbuliwe. Wasionekane na hatia yoyote.ni chama ambacho kinawakumbatia wengi wenye hatia ndo maana hii tumbua haina faida yoyote.Bado hatuna elimu. Bado tupo wajinga. Bado hatujawa wakweli na serious na maendeleo halisi. Bado ni taifa lililojaa wajinga wengi watunza matumbo tu hawajui kujituma na kujipatia ridhiki kwa jasho. Bado wezi na watoa na wapokeaji rushwa ambao ccm wanaongoza kwa hili.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad