Mambo Yawanyookea Yanga SC Waanza Matengenezo ya uUwanja Wao wa Kaunda
0Udaku SpecialDecember 26, 2017
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya soka ya Tanzania Bara, Yanga SC wameanza matengenezo ya uwanja wao wa kaunda uliopo eneo la Jangwani Jijini Dar es Salaam.
Mabigwa hao watetezi wa kupitia ukurasa wao wa Instagram wameweka video ikionyesha ukarabati ukiendelea katika uwanja huo.
Video hiyo inaonyesha ikisawazisha vifusi vilivyokuwa vimemwagwa uwajani hapo kwa siku kadhaa zilizopita.