Mambo Yawanyookea Yanga SC Waanza Matengenezo ya uUwanja Wao wa Kaunda

Mambo Yawanyookea  Yanga SC Waanza Matengenezo ya uUwanja Wao  wa Kaunda
Mabingwa watetezi  wa Ligi Kuu ya soka ya Tanzania Bara, Yanga SC wameanza matengenezo ya uwanja wao  wa kaunda  uliopo eneo la Jangwani Jijini Dar es Salaam.


Mabigwa hao watetezi wa kupitia ukurasa wao wa  Instagram wameweka video ikionyesha ukarabati ukiendelea katika uwanja huo.

Video hiyo inaonyesha ikisawazisha vifusi vilivyokuwa vimemwagwa uwajani hapo kwa siku kadhaa zilizopita.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad