meandika Mange Kimambi Kupitia Instagram:
Kaka Zitto I hope you know kuwa wewe ndio mpinzani mkubwa wa upinzani wa Tanzania.. You are the weakest link.
We are not going to win this war against Magufuli huku upinzani mkuwa fragmented like this. Sasa hivi TZ kulikuwa kuwa na upinzani mmoja tu. Na sio huku Maalim Seif na CUF, huku Zitto Kabwe na ACT huku Lissu na Chadema. Ila mkiungana wooote you will be a force. .
Zitto umeshapoteza credibility a lot of people wanashindwa kukuamini but I think the way forward here is for you to end this ACT Wazalendo thing. Wewe ndio una weaken upinzani wa Tanzania Bara na 2020 utazigawa kuwa za upinzani.
Mange... Huyu kaka kwa sasa hivi, Wadifa uliompa ni sawa. ila kuna la Zaidi ya hilo ni kwamba
ReplyDeleteHajielewi wala haeleweki.
Ingekuwa Bora. Kama angeamua kulea na kusomesha kama ina Fikra hiyo nzuri.
Si ulisikia kama ameoa?.... Hata mimi nilisikia hivyo hivyo.
Winning a war against Magufuli? Huyo Kimambi labda akili yake inaendeshwa na papa yake. Zito chama kimemshinda kinakufa na sasa Zito Kabwe hana tofauti na mfa maji amebakia kutapatapa kwa kujaribu kutafuta sapota kutoka kwenye vyama vengine vya siasa kitu amabacho kwa hakika ni kupoteza muda. Kwa rekodi ya haraka haraka wapinzani wa siasa Tanzania hawana tofauti na wale wahasi wote wa kiafrika walizozipelekea nchi nyingi za kiafrica kuingia katika mapigano ya wenyewe kwa wenyewe cha kushukuru ni kwamba Tanzania siku zote kumekuwepo na stable Government kutokana na misingi imara ilyoasisiwa na viongozi waliopita na inayoendelezwa chini ya serikali ya CCM la sivyo ingekuwa balaa. Hebu fikiria ile mihemko ya akina Mbowe na wenzake ya kususia susia kila kitu alafu leo wakabidhiwe serikali hiyo nchi ingekuwa ya namna gani? Nna imani kabisa kama serikali ya Tanzania ingekuwa dhaifu akina Mbowe na wenzake tayari washaingia msituni zamani sana .Uliona jinsi akina Mbowe,Lema na wenzake walivyokuwa wakisherehekea mauji ya kibiti naamini walitamani ile hali iendelee? Fikiria kama watanzania wasingekuwa watu wa uweledi sasa nchi ingekuwa imeshakatika vipande vipande kwa sababu Chadema kina kila dalili ya harufu mbaya ya ukanda lakini watanzania wamelin'gamua hilo na kulipuuzia kana kwamba hawajui kinachaendelea la sivyo kila mtanzania angeamua kufuata siasa kwa ushabiki wa kikanda kama baadhi ya vyama inavyolazimisha hivi sasa tungekuwa hatuna Tanzania. Myonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Nina kipa chama cha Mapinduzi Credit kwa kusimamia umoja wa kitaifa kwa vitendo. Chama cha Mapinduzi kina harufu zero ya ukanda ni chama kilichowaunganisha watanzania wote hata ukitizama katika historia ya safu yao ya uongozi basi utapata picha halisi yakwamba CCM ni chama halisi cha watanzania bila ya kubagua wapi mtu anatoka isipokuwa kigezo muhimu ni uwezo wa mtu. Na kwa misingi hiyo vyama vya upinzani vinatakiwa kuimarisha vyama vyao kwanza kuwa na sura ya kitaifa kabla ya kufikiria kushika dola la sivyo watabakia kususa na kuilaumu CCM siku zote kwa lawama zisizo na mshiko.
ReplyDelete