Mataifa ya Kiarabu Kuiwekea Marekani Vikwazo vya Kiuchumi...Kisa Kizima Hichi Hapa


Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon, Gebran Bassil atoa wito kwa Mataifa ya Kiarabu kuiwekea Marekani vikwazo vya kiuchumi mpaka ibadili uamuzi wake wa kuitambua Jerusalem kama Mji Mkuu wa Israel.

Ameyasema hayo katika Mkutano uliowakutanisha viongozi kutoka nchi za kiarabu ambao walikutana kujadili kauli ya Rais Donald Trump kuhusu Jerusalem ambao kwa pamoja wametoa tamko la kupinga na kusema kauli ya Rais huyo haijakaa kisheria na inachochea mgogoro zaidi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad