Mbunge Chadema Amkumbuka Jakaya Kikwete


Mbunge Chadema Amkumbuka Jakaya Kikwete
Baada ya kuwepo kwa taarifa za kuhojiwa kwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenga, Wilaya ya Ngara mkoani Kagera, Severine Niwemugizi (61) na Idara ya Uhamiaji kuhusu uraia wake, Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche amesema utawala wa Rais Kikwete,

makanisa yalisimama na kukosoa.
Heche amesema kwamba utawala wa Kikwete Kanisa lilisimama imara kukosoa mambo kadhaa wakati ya serikali na waka hakuwahi kushuhudia viongozi wa dini wakihojiwa na kususitiza kwamba watu wasimame imara kupinga kuporwa kwa uhuru
"Kanisa lilisimama imara kukosoa mambo kadhaa wakati wa utawala wa Kikwete, sikuona kiongozi anahojiwa uraia wake naamini ingekuwa kipindi hiki kanisa lingefutwa wangesema sio kanisa la Kitanzania, tusimame imara kupinga uhuru wetu kuporwa, hakuna alie salama" Heche .
Taarifa zinadai kwamba Askofu Niwemugizi alihojiwa mara 2 na Idara ya Uhamiaji kuhusiana na Uraia wake kati ya mwezi Novemba na Disemba
Mwishoni mwa mwezi Septemba , Askofu Niwemugizi alisema kuwa  imefika wakati nchi inahitaji kuwa na dira nzuri ambayo pia italetwa na Katiba Mpya na kusisitiza kwamba
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kuna nini Tanzania. Magufuli anakwenda kanisani, na mara nyingi anaomba kanisa limwombee na lisaidie Wananchi. Ni aibu gani kuona raisi huyuhuyu akiwanyanyasa hao hao anaowaomba kwa kumkosoa. Ni aibu gani kwa kiongozi wa nchi kujiingiza kwenye mambo ya kumwaibisha na kumdharalisha binadamu yoyoye yule kama siafu.Ni nani katika Tanzania hii inamruhusu mtu mmoja kudhalalisha binadamu mwenye utu na hadhi yake namna hii na chama na hata taasisi za serikali zikamuunga mkono?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad