Muunganiko wa Rosa Ree na Young Dee Kuichafua Leo Dodoma Pale Maisha Club....Yasemekana eti Hao Wawili ni?

Ikufikie hii mpya kutoka makao makuu ya Tanzania Dodoma, Leo siku ya Tarehe 26 Boxing day vijana wawili kutoka kiwanda cha muziki wa Bongo Flava Wataburudisha pale Maisha Club, Show inayosemekana kuwa itakuwa Baab kubwa ya Kufunga Mwaka....ila pia kuna tetesi kuwa eti hao ni.....Malizia hapo kwa sauti ya Soudy Brown...


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad