Mzazi Mwenzie Barnaba 'Mama Steve' Amtambulisha Mpenzi Wake Mpya

Mzazi Mwenzie Barnaba 'Mama Steve' Amtambulisha Mpenzi Wake Mpya
Unamkumbuka mama Steve wa Barnaba Classic? Alhamisi hii amemtambulisha mpenzi wake mpya aitwae, Brown ambapo katika usiku wa Birthday Party ya Jack Wolper iliyofanyika Buckets Masaki Jijini Dar es salaam akikuja naye na kuonana na Barnaba ambaye siku hiyo alikuwa anatoa burudani kwenye party hiyo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad