Picha ya Rais Magufuli Akikagua Ubora wa Kiatu


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia ubora wa kiatu cha Mrakibu Msaidizi wa Magereza Melkior Komba, Katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Viatu hivyo vimetengenezwa na kiwanda cha Jeshi la Magereza Karanga kilichopo Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad