Polepole Awatupia Dongo Chadema..."Watani Wanakutana Leo Agenda ni Kutoshiriki Uchaguzi"

Polepole Awatupia Dongo Chadema..."Watani Wanakutana Leo Agenda ni Kutoshiriki Uchaguzi"
Katibu wa itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole amesema  CHADEMA wamefanya kikao cha dharura  kususia uchaguzi wa marudio wa majimbo na kata unaotarajiwa kufanyika January 13 mwakani.

Polepole amewatuhumu  CHADEMA  kuwa wanatumia mgongo wa kuminywa kwa Demokrasia nchini kususia uchaguzi huo wakati ukweli ni kwamba wamefulia baada ya kutumia vibaya hela ya mfuko wa chama chao.

"Watani wanakutana leo, agenda ni kutoshiriki uchaguzi unaokuja wa marudio kwa kisingizio cha demokrasia lakini ukweli ni matumizi mabaya ya fedha yamefuja mfuko wa chama. Tafuteni visingizio vingine lakini sio demokrasia. Watu wamechoka siasa za matukio. Kikao chema!" Ameandika polepole katika ukurasa wake wa Twitter.

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Polepole, be serios. Hii siyo joke. Usiwachezee watanzania kwa kutania ambapo si utani hata.watani wako kila kitu utani. Lini utakuwa serious na nchi. Na watanzania na maendeleo ya nchi. Bado mnatoa rushwa. Mmewakumbatia vigogo wote wakuu walioisababisha Tanzania kufikia hapa. Hamtaki hata majina yao yatajwe. Mbona hamuwatumbui hao vigogo wakuu wawil wa ngazi za juu. Waliotaifisha mali za umma na nyingine kujimilikisha wenyewe na watanzania wote wakaiga. Ndio waliosaini mikataba ya almasi shinyanga. Ndio waliotumia cheo cha uraisi kutoa wanyama nchini. Ndio walioa g iza mabehewa ya trani .ndio walioagiza magari. Hakuna mtu wa kawaida yeyote Tanzania ambaye angeweza kuagiza bila mawaziri na maraisi kuruhusu. Hamtakomesha rusha na kufanikiwa utumbuaji nchini kama mtazidi kuwakingia vifua mapapa wakuu walioruhusu .shiriki na kujihusisha kutoa vibali kwa mabepari kufanya waliyoyafanya. Walibarikiwa na vigogo hawa. Leo mkuu anatoa amri msiwaguse ambao ndio chanzo cha kila kitu. Nakuona unatoa kejeli kwa watanzania kwenye mambo mazito kama haya. Rudisheni katiba itoe ruhusa ya kuwatumbua wote hata wewe utatumbuliwa baadaye kwa kulidanganya taifa na kulipotosha. Hakuna mwanaccm atakayekuwa msafi kama katiba itabadilishwa na kuwaadhibu wote wanaotumia uongozi wao vibaya kwa kulipotosha Taifa. Iko siku kutawaita watani, utawaheshimu na kujibu mashtaka yote na kulipa kwa kifungo na kurudisha hasara mnayoingiza katika taifa hili.

    ReplyDelete
    Replies
    1. okay, kwa hiyo kususia uchaguzi ndio suluhisho la hiyo 'singo' hapo juu!! UKISUSA-WENZIO-TWALA........piiipoooz PWAAAAAAh

      Delete
  2. Mugabe machale yamemcheza, sio kwa 'kipigo' kile 42 -1! Unadhani itakuwaje kwenye uchaguzi wa marudio ubunge kama sio 3-0, bora lawama kuliko fedheha hahahaha kama vepe tia mpira kwapani

    ReplyDelete
  3. Pole Pole .... Hawa ni Lazima Tuwapeleke Spidi Hii Ya Magu.
    Watakao tapika Ni Wengi.
    Watakao pata Kizunguzungu kama kina zubeli kabwe na FleeMan Mtowe Watatatafuta Kijiti Washike
    Lakini kwa Hii Spidi ... Ni Lazima Iwaangushe PWAAAAAAAAAAAA
    HPA kAZI tU.... hOJA ZA KUDANDIA DANDIA ZOTE ZINAMWENYEWE NA ANAZIFANYIA KAZI KWELI KWELI...
    SASA HAWA WADOGO ZETU HAWANA JINSI WALA NAMNA........CCM OYEEEEEEEEE

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad