Raila Odinga Aufyata Mkia Baada ya Kuambiwa Akijiapisha Kuwa Rais Atashtakiwa kwa Uhaini


Upinzani nchini Kenya umetangaza kughairisha shughuli ya kumuapisha Kiongozi wao Raila Odinga kuwa Rais wa Jamhuri ya Kenya tarehe 12 Desemba
-
Tarehe mpya ya kuapishwa Odinga pamoja na uzinduzi wa Bunge la Wananchi itatangazwa baadae
-
Hivi karibuni, Mwanasheria Mkuu wa Serikali nchini Kenya alitahadharisha uamuzi wa NASA kutaka kumuapisha Bw. Odinga kinyume na utaratibu na kusema endapo watafanya hivyo, watashitakiwa kwa kosa la uhaini. - #regrann
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad