Rais Magufuli Awatumia Salamu za Sikukuu ya Christmass na Mwaka Mpya Watanzania

Rais Magufuli Awatumia Salamu za Sikukuu Watanzania 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka na kuwatakia heri Watanzania wote katika kusherehekea siku ya Christmas na mwaka mpya.
Magufuli ametoa salamu zake hizo kupitia kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Gerson Msigwa ambapo rais amewataka Watanzania kusherehekea sikukuu hizo kwa utulivu na amani na kuwataka Watanzania mwaka 2018 kuwa pamoja ili nchi iweze kufanikiwa zaidi na zaidi.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad