Rayvanny Afunguka Kinachokwammisha Kolabo Yake na Derulo

Rayvanny Afunguka Kinachokwammisha Kolabo Yake na Derulo
Msanii wa muziki Bongo, Rayvanny amefunguka kinachokwamisha kolabo yake na Jason Derulo.

Muimbaji huyo wa WCB ambaye June 26 mwaka huu alionekana studio na Jason Derulo ameiambia The Base, ITV kuwa kazi hiyo ilishafanyika ile anasubiri Derulo aimalizee mixing kisha amtumie.

“Nilifanya ngoma kwenye studio yake lakini ratiba yake inakuwa imebana sana anakuwa anazunguka kwenye miji mingi tofauti, so akaniambia siwezi nikakutumia kitu ambacho hakijakaa proper subiri mpaka tuimix vizuri” amesema Rayvanny.

Hata hivyo Rayvanny ameeleza kuwa katika safari yake ya sasa ya Marekani ambapo ameenda kwa ajili ya ku-shoot video atafuatilia na hilo pia.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad