Rihana Akabidhiwa Mtaa Wenye Jina Lake Katika Kisiwa cha Barbados

Rihana Akabidhiwa  Mtaa Wenye Jina Lake Katika Kisiwa cha Barbados
Kisiwa cha Barbados, kilichopo nchini Marekani kimemtunusu mwanamuziki Rihanna kwa kumpa mtaa yenye jina lake.

Uongozi wa eneo hilo umetoa jina la mtaa huo kwa msanii huyo anayetoka katika kisiwa hicho siku ya uhuru wa kisiwa hicho.

Baada ya kupewa jina la mtaa, Riri ameushukuru uongozi wa kisiwa hicho kwa kumpatia heshima hiyo.

“My home. My whole life was shaped on this very road. I was just a little island girl riding bikes, running around barefoot, and flying kits in the cemetery, but I had BIG dreams. Dreams that were born and realized right here,” amesema Riri

Akaongeza “Thank you to my family, my country, and the people of Westbury New Road,” she continued. “You will forever be a part of who I am, and for that, I am honored to have this place named after me.”

Kwa miezi miwili mfululizo Rihanna amekuwa akipata dili za kutokea katika majarida makubwa kama Vogue Arabia, Vogue Paris,na Dazed.





Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad