Rushwa Yazidi Kuwamaliza Vigogo...Takururu Yamshikilia Kigogo Huyu Mwingine Kwa Rushwa


TAKUKURU inamshikilia Mwanasheria wa Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira(NEMC), Bernard Kongola na Polisi wawili wa kituo cha Mbweni kwa madai ya kuomba Rushwa ya Shilingi milioni 1 kutoka kwa Mkalimani binafsi wa Kiwanda cha Yong Long Plastic
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hii ni hali halisi nchini. Ni wana CCM. Mmewapa madaraka. Lakini mfumo wenu hajabadilika. Lazima wachapue. Wasipochapua mbona wote mmechaua mko huru. na MMestawi. Rushwa kamwe haitaweza kukomeshwa chini ya CCM. Nasari kaleta video yenye ushahidi, na yule mtuhumiwa umempandisha cheo.Kisa, tuwe na wanachama wengi, tuuwe upinzani, tubaki madarakani. ndo Maana kwa njia zote hata kwa rushwa, na Mara nyingi kwa rushwa. Mnawanunua Wapinzani, wazibe midomo, mpite tena kwenye uchaguzi. CCM ni ile ile.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad