DODOMA: Rais Magufuli ameagiza eka 129 za ardhi iliyopo Iyumbu, ambazo serikali ilikusudia zitumike kwa ajili ya kuzika viongozi zirudishwe kwa wananchi
-
Rais amesema sheria hiyo ilipitishwa kabla hajawa rais ila ana uhakika hakuna kiongozi atakayetaka kuzikwa hapo kwani watapenda kuzikwa kwao
Magu Baba....mungu akuweke.
ReplyDeleteWewe Ni mtetezi WA WANYONGE.
Tugawieni Arshi sisi wana Dodoma kea kipaumbele. Na mtumimie kihalali. Lukuvu ingia kazini mwanangu...Baba kashaaema. Tafadhali tekeleza na Winde yetu PIA.
Lilikuwa wazo zuri kwa ajili ya kuwaweka viongozi wetu pamoja.
ReplyDeleteSidhani...kama lilijuwa wazi muafaka.
ReplyDeleteMakaburi kijadi na kitamaduni za makabila yetu. Tunazikia nyumbani... Mimi mwenyewe Mama yangu kafarikia Chennai nchini India. Tumesafirisha mwili na tumezikia Dodoma.
Mh Job Ndungai baada ya Miaka mingi kupita wameende kuchukua mabaki ya mwili na kuja kuzuia nyumbani toka huko kwenye machimbo. Hii ndiyo hali ya kawaida. Malehemu sitta na Baba Ta Mize go pinda kona Makala wote wanazikia nyumbani