SHAMSA – “Mastaa Wamenitukana Wamekasirika Wanasema Kwani Wao Siyo Wazuri”

Kutoka Bongomovie Shamsa Ford amelezea kuhusu post yake aliyopost kwenye Instagram kwa kumsifia Irene Uwoya kuwa ni mzuri kuliko wanawake wote Bongo Movie ambapo amesema kwamba wapo mastaa waliomtumia Message wakimsema kuhusu kitu hicho.

“Ilikuwa ni birthday ya Irene Uwoya nikawa nimeandika happy birthday mwanamke mzuri kuliko wote bongo movie, watu wakaanza kunitukana hasa wanawake, wengine ni wasanii wakawa wananitukana kwa kutuma message,” – Shamsa

Bonyeza PLAY kumsikiliza Shamsa akielezea kila kitu

VIDEO:

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hukukosea ni kweli Irene mzuri.kama yupo ajitokeze.HALAFU ANAJUA KUACT.yaani akijilegeza kwenye film hadi wengine wanapagawa.keap it up IRENE.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad