Stamina Afanya Kweli Amvalisha Pete ya Uchumba Mpenzi Wake

Stamina Afanya Kweli Amvalisha Pete ya Uchumba Mpenzi Wake
Rapper Stamina yupo mbioni kuuaga ukapera baada ya jana kumvisha pete mchumba wake wa muda mrefu ajulikanae kwa jina la Veronica.


Stamina akimvisha pete ya uchumba mpenzi wake.

Stamina amemvisha pete mchumba wake huyo jana mkoani Morogoro na kwa mujibu wa maelezo ya mtu wake wa karibu huenda rapper huyo akafunga ndoa mwaka huu baada ya maajirio.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad