Tazama video ya Diamond Platnumz ft Rick Ross – Waka (Official Video)

Mwanamuziki Diamond Platnumz ameachia video ya wimbo wake ambao amemshirikisha mwanamuziki Rick Ross kutoka nchini Marekani.

Wimbo huu ulikuwa unasubiriwa kwa hamu kubwa na watu mbalimbali, kwani hata wakati wa utayarishaji wa video hii, picha mbalimbali za Diamond akiwa na Rick Ross zilisambazwa mitandaoni, kila mmoja akiwa na lake la kusema.

Tazama video hiyo hapa chini:
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kuchamba kwingi kutoka na mavi..kelele zoote nyimbo mbaya sana, haileweki.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad