TID Ananipa Vitisho Vingi Sana Kisa Demu – Calisah

TID Ananipa Vitisho Vingi Sana Kisa Demu – Calisah
Model Calisah amefunguka kwa kudai kwamba anapokea vitisho vingi kutoka kwa muimbaji, TID kwa madai anamchukulia demu wake.
Calisah amedai amekuwa akipokea vitisho kutoka kwa marafiki zake wa karibu wakidai wametumwa na muimbaji huyo aliyewahi kufanya vizuri na wimbo, Zeze.

“Ni kweli nimekuwa nikipokea vitisho kutoka kwa TID anadai namchukulia demu wake sio kweli,” Calisah aliimbia Bongo5. “Huyo demu nilikutana naye kwenye bwawa la kuogelea akajoin na mimi basi tukawa washkaji kabisa mpaka sasa tunaongea vizuri na ni watu wa kawaida,”

Muimbaji TID alimpost mrembo huyo kupitia instagram yake na kuandika “My melodies Sing back,Half human half Mnyama she is my Nusu kwa Nusu,”

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyo mwanamke ana tisha, sura ngumu mbona? ndio mnamgombania huyo? poleni

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad