Ameelezea kuwa haijawahi kutokea katika historia ya Tanzania mbunge kuuawa akiwa kazini, na matendo yaliyotokea baada ya yeye kushambuliwa yanatia wasiwasi.
CCTV camera zimeondolewa, polisi hawajampata mshukiwa hata mmoja na pia wamepiga marufuku watu kumuombea, kujitolea damu, kuvaa t shirt zenye jina lake, yaani ni kama wamepiga marufuku jina la Tundu Lissu
Hivyo hii inaonyesha polisi hawawezi kuwa huru katika upelelezi wa kumpata aliyemshambulia na wanahitaji kuleta wapelelezi kutoka nje
Ametolea mfano Kenya waziri wa mambo ya mambo ya nje Robert Ouko aliuawa mwaka 1993 watu waliishuku Serikali kuhusika, na Serikali ikaleta wapelelezi kutoka nje,pia kuna wakati benki kuu iliungua.
Pia benki kuu yetu ilipoungua moto miaka ya 1980s walileta wachunguzi kutoka nje, hivyo sio ajabu kuomba msaada kutoka nje
Amesema tukiola kushambuliwa kwake ni ugaidi, unapomshambulia mtu kwa lengo la kumuu kwa sababu za kisiasa huo unaitwa ni ugaidi
VIDEO:
Lissu .... Hii siyo Forum ya Malumbano. Ukiwa kitandani. na unatumia Madawa kwa ajili ya Maumivu na
ReplyDeleteUganguzi na afya yako iko under constant Monitoring. Jali waganguzi na Uganguzi unao endelea
Bila kuathiri afya yako na kupandisha BP au Glucose.
Omba mungu upone halaka.
Spika usimwingilie au kutafuta Mada za Kuuzisha Magazeti.
Jilipie kwa ajili ya Afya yako.
Watanzania wengi wagonjwa na wanayamudu matibabu yao na Familia zao.
Dua na Sala zetu ziko pamoja na wewe.
Tundu, Shillingi zetu za walipa kodi Tunazihitaji kati maendeleo ya Nchi yetu.
ReplyDeleteGalama za Wpelelezi wa nje hatuna.
Ikiwa Makachero wetu wamekufata na umeshindwa kutoa Ushirikiano.
Tunakuomba ushirikiano wako wakati wote. Bila kupeleka lawama pande hii au ile.
Mambo ni mengi... na wahenga walinena Kikulacho........
Get well Soon.....
Galama ? Galama Gani....?
ReplyDeleteAliye Amua Kukupeleka / Aliyekupeleka atalipa.
Wewe ilibidi uwe mfano na walio kuzunguka kukupeleka Hospitali Zetu.
Mmetia Aibu Taifa na Kudhihirishia Dunia/ Aflika kuwa Tunao wasomesha Hatuwajali na kuwathamini.
Tanzania yetu ina Madaktari Bingwa wanao heshimika Duniani Au Huamini Hilo?