Ubunge: Steve Nyerere Kuziba Nafasi ya Mtulia Kinondoni (Video)

Msanii wa filamu, Steve Nyerere ameweka wazi mpango wake wa kugombea nafasi ya Ubunge katika jimbo la Kinondani baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Mhe. Maulid Mtulia kupitia tiketi ya CUF na kukihama chama hicho na kuamua kuhamia CCM hivyo na kupoteza sifa ya kuwa mbunge.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad