Ujumbe huo ambao ulikuwa ni maalum kwa ajili ya kumtakia heri ya kuzaliwa mtoto wake wa kiume, Nillan, ulimtaka mtoto huyo akue salama ili aje awatumie wanawake vyovyote atakavyo kwa sababu anajituma ili amwandalie pesa ya kutumia vyovyote atakavyo atakapokuwa mkubwa.
“Nasemaje! Kua Uje kuwatembezea Baba... We swala la Kutafta ela niachie mie... Jukumu lako ni moja tu, Kupita nao.....Happy 1st Year Lanny!!!” Unasomekla ujumbe huo wa Diamond.
jamani muoneeni huruma karithi huyo kutoka kwa mama yk; anayoyafanya mama yake kwenye nitandao na kujidhalilidha na mtoto wake ndio hivyo hivyo
ReplyDelete