Ujumbe wa Diamond kwa Mwanaye Wawakera Wanawake... Atuhumiwa Kuwadhalilisha Wanawake

Ujumbe wa Diamond kwa Mwanaye Wawakera Wanawake... Atuhumiwa Kuwadhalilisha Wanawake
Msanii Diamond Platnumz anayetamba na Ngoma ya Sikomi ameingia matatani baada ya  watu mbalimbali kumtuhumu kuwadhalilisha wanawake kupitia ujumbe wake aliouandika katika ukurasa wake wa Instagram.

Ujumbe huo ambao ulikuwa ni maalum kwa ajili ya kumtakia heri ya kuzaliwa mtoto wake wa kiume, Nillan, ulimtaka mtoto huyo akue salama ili aje awatumie wanawake vyovyote atakavyo kwa sababu  anajituma ili amwandalie pesa ya kutumia vyovyote atakavyo atakapokuwa mkubwa.

“Nasemaje! Kua Uje kuwatembezea Baba... We swala la Kutafta ela niachie mie... Jukumu lako ni moja tu, Kupita nao.....Happy 1st Year Lanny!!!” Unasomekla ujumbe huo wa Diamond.

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jamani muoneeni huruma karithi huyo kutoka kwa mama yk; anayoyafanya mama yake kwenye nitandao na kujidhalilidha na mtoto wake ndio hivyo hivyo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad